Ninahitaji kununua tablets 80 for an NGO(not for profit), natafuta mwenye tablets ambazo zina betri nzuri zaidi ya masaa 4.
Specification
Ram 512mb
Storage 8GB
screen size 7inch
Brand: any...
Habari za Kazi na Pilika za kila siku.
Tunauza VIFARANGA
1. Chotara @ 1500
2. Kienyeji @ 1500
Wenye Umri Mbalimbali kuanzia wiki moja hadi mwezi Mmoja. Bei maelewano tupigie 0758880131
Karibu...
Tunatoa huduma ya kusambaza chakula cha mbwa germany shepherd majumbani kwa bei nafuu. Aina ya chakula ni super dogo , royal dog food na vingine vya kusaga.
Tuwasiliane
0777146412
*TOLEO KUTOKA INDIA*
MASHINE YA MKONO YA KUSAGIA KARANGA,KUNDE, KAHAWA
Hii ni mashine yenye uwezo mkubwa wa kusaga KARANGA,KUNDE NA KAHAWA
Tunauza 65,000/-Tshs tu.
Unaletewa popote DAR ES SALAAM...
KIFAA CHA KUTENGENEZEA COOKIES AU BISCUT NDOGO NDOGO,PIA HUTUMIKA KUPAMBIA NA KUCHOREA KEKI NA COOKIES/BISCUT
Hiki ni kifaa ambacho hutumika kutengenezea COOKIES,BISCUT NDOGO NDOGO,pia kina...
KAMATA FRIDGES MPYA NA KALI ZAKISASA SIZIZOCHURUZISHA MAJI NDANI MPYAA ZIKIWA NA WARRANTY N GUARANTY YA COMPRESSOR USAFIRI BUREE MPAKA HOME PAMOJA NA FRIDGES GUARD ZINAANZIA 400,000 NAKUENDELEA...
Habari zenu wakuu?
Nauza gari aina ya Toyota Voltz
Rangi ya Marun
Haina tatizo lolote
Haidaiwi chochote
12milion
Note : gari ipo dsm
Contacts/whatsap 0714 521128
For pictures see the...
Habari Wana JamiiForums,.
Nimewaza juu ya kuwa na thread maalum kuhusiana na vifaa bora vya ujenzi, mahali pa kuvipata, tahadhari n.k
Pia tuweze kushirikishana changamoto mbalimbali za...
Habari wana JF
natangaza kufanya biashara ya kuku wa kienyeji na kisasa pia, mimi nipo IRINGA natafuta shilika watu/mtu yeyote yule ambaye ana husika/kujishugulisha katika biashara ya kuku, wawe...