line za uwakala zinauzwa

line za uwakala zinauzwa

Nommy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2015
Posts
448
Reaction score
27
tigopesa 240000
mpesa 150000
airtel money 95000

zipo active ni kuchukua na kuanza kazi

0712191251 serious buyers tu
 
tigopesa 240000
mpesa 150000
airtel money 95000

zipo active ni kuchukua na kuanza kazi

0712191251 serious buyers tu
kwa sasa, hali ilivyokuwa mbaya. Laini za wakala zitauzwa hadi elf 50
 
nayashangaa matangazo ya kuuza line za miamala ya pesa!!! hizi zina mafungamano na sheria za benk. ziko chini ya miongozo ya benko kuu na zimesajiliwa kwa majina kwa kutumia nyaraka kuntu/muhimu/nyeti: valid business license, tin number, identity card. hizi sio nyaraka za kimagumashi. ni sawa na kuhalalusha kadi yako ya benk (yenye jina na pin) uiruhusu itumiwe na mtu mwingine kuweka na kutoa pesa kwa matakwa yake. kosa lolote la mtumiaji madhara humrudia mwenye jina. msichoke kuongeza fursa lkn kaeni chonjo pia!
 
Back
Top Bottom