Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nina million 1 naomba mwenye pikipiki aina ya boxar ambayo ipo kwenye hali nzur aniuzie,kama unayo nicheki 0753 90 31 90, A-iwe kwenye hali poa maana kabla ya ununuzi ukaguzi muhimu. B- iwe ni...
0 Reactions
0 Replies
581 Views
Nauza nyumba ipo mbagara sabasaba mwanamtoti karibu na shule ya sekondari ya st antony. Nyumba ina sifa zifuatazo. -ina umeme -ina maji ( maji yanapanikana nyumbani kabisa ya bomba) -kwa ndani...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama wewe unauza vitu USED hivi hapa tuwasiliane !!!Kwa bei nzuri Flat screen Kitanda cha kulalia TV stand Godoro confy Meza ndogo ya kioo Sofa ndogo Mahali popote kama unaflat lakini n...
0 Reactions
2 Replies
979 Views
Wakuu..mwenye psp iliyo katika hali nzuri,aniuzie..namba yangu 0658327429...dsm
0 Reactions
0 Replies
606 Views
Habari waungwana.. Kama heading inavyojieleza. Ninahitaji mtu wa kuweza kunipatia mayai ya kuku kuanzia tray 30 ambazo ni mahitaji ya siku moja na kuendelea. Nipo tiyari kuchukua kiasi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa yeyote anaehitaji smartphone.. Kuna samsung galaxy note 3 inauzwa, iko katika hali nzuri sana, Bei ni 300,000.......Bei inaweza ikapungua.... Kwa yeyote anaehitaji, whatsapp 0714132075..
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyumba iko maeneo ya kona ya mbauda jijini Arusha, stend ya mirongo, ziko mbili, moja self, na nyingine ya vyumba vitatu kwenye uwanja mmoja, mita 50 kutoka barabara ya Oljoro, maji na umeme...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habar wapendwa nauza car wash machine inayotumia umeme. Mashine ni mpya sana dhumun la kuuza ni kwamba imekosa msimamiz hivyo nimeamua kuuza bei inaanza laki 4..!! Nichek kupitia...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Natafuta fliji ya lakimoja mwenyenalo anijulishe
0 Reactions
0 Replies
796 Views
NYUMBA YA VYUMBA 3 VITATU VYA KULALA, SITTING ROOM, DINING, KITCHEN AND STORE INAPANGISHWA. NYUMBA INA FENCE YA UKUTA NA GETI. KWA MAWASILIANO 0768 079190 0652-209552.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nawasalimu, mwenye mtungi wa gesi ya kupikia 30 kg awasiliane nami 0713 758165. Nipo Dar
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Kama kichwa cha habari kinavo elekeza wana jamii naomba msaada wa kupata connection ya Mayai kwa bei ya kupoza poza kidogo nihitaji trei 1000 kila wiki msaada wadau nipo dar 0715 856687
0 Reactions
2 Replies
730 Views
Kama kuna mtu anaweza kunipatia mayai kwa bei poa ajitokeze tufanye biashara. Nina malengo wa kufungua frem ya mayai kwa jumla.
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Nikon D3200 24.2 MP CMOS Digital SLR with 18-55mm f/3.5-5.6 Auto Focus-S DX VR NIKKOR Zoom Lens (Black)...Price 400 USD... haina begi lake original na kifuniko cha lens hapo mbele..vingine vyote...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nyanya wa mke wa rais amekufa na ameisha zikwa mwanza.akiwa na umri wamiaka 82 na wajukuu zaidi ya 20. Mazishi tayari mke wa rais yupo uko. Mh raisi alikuwa tait sanaaaa ameshindwa kufika, ila...
0 Reactions
2 Replies
767 Views
Habari wadau, nauza mabanzi mazuri Na bei ni maelewano, Niko mafinga iringa, Pia nauza Mbao fupi za urefu wa kuanzia futi 8 hadi futi 10. Bei maelewano. Zao la paini Miti ya serikari. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Natafuta mkulima wa maharage tuwasiliane kwa 0762508455!
0 Reactions
4 Replies
781 Views
Kiwanja /shamba linauzwa Lina ukubwa wa eka 1 na nusu lipo Kibaha Mathias upande kilometa Moja na nusu toka Barabara ya morogoro kwenye kitongoji kiitwacho Jamaica being ni maelewano na ina HATI...
2 Reactions
6 Replies
965 Views
Kama unatoa hizo huduma nijulishe tuwasiliane. Kwa Huku kanda ya ziwa. asanteni
1 Reactions
1 Replies
678 Views
Back
Top Bottom