Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Are you a form six leaver and you are trying to cope with the life after school? We offer FREE ADVICE and GUIDANCE to help explore your options and see what you can do to earn an honest living...
0 Reactions
2 Replies
961 Views
Kiwanja kinauzwa eneo la Kimele, Bagamoyo karibu na shule ya BaoBab Sekondary School. Kipo Umbali wa Km 2 kutoka barabara ya Dar - Bagamoyo. Kina ukubwa wa 30*15 Bei Mil 5.5. Kiwanja hakijapimwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kichwa cha habari chajieleza. Mwenye nayo tuwasiliane. Awe na bei ya kuuza
0 Reactions
3 Replies
703 Views
Wadau naomba kujua hivi vifaa vya kupimia udongo nitapata wapi? Nipo Songea 0756041410
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani anahitaji kuandikiwa project proposal, business plan, kufanyiwa monitoring and evaluation tuwasiliane kupitia 0684310382 , nipo dar es salaam-ukonga
2 Reactions
3 Replies
801 Views
Njoo ujikamatie passo... Haidaiwi Imetembea km 100,000 Piston 4 Gari ni nzima kila idara mpaka ac. Bei ni 6.2 mln Kwa mawasiliano piga # 0715591141.... DSM
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wasalam.... Pc yangu haina port ya VGA wala HDMI bali ina D- Port (Display Port). Sasa ninataka kuunga tv yangu na tv flat sreen ili niweze kupata live streeming. Ninatafuta hii cable ya D- Port...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Natafuta flat screen isipungue inchi 32, anaeuza tafadhali. Npo dar
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari,natafuta wakulima wanaolima mazao haya,maharage,njegere,mahindi,mananasi na Michele niwasaidie namna ya kupata masoko makubwa ya mazao yao,wawe Tayari hayo mazao yapo shambani bado...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana Jf, niko katika hatua za mwisho kukamilisha ranchi ya mfano ya ufugaji wa Punda hivyo nahitaji watu serious watakaoweza kuniuzia punda kwa bei nzuri. Nina mpango wa kuanza na punda...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi Habari zenu . kuna kichwa cha thread kinavyojieleza . Naitaji gari aina ya Harrier Old model USED ila iliyo katika decent condition . Nina prefer four cylinders . Namba sio kitu cha...
0 Reactions
3 Replies
935 Views
Wakuu nauza dagaa wa Bukoba wasiokuwa na mchanga kwa bei ya jumla, nina uwezo wa kusupply kiasi chochote atakachokihitaji mteja muda wowote na mahala popote atakapohitaji. Napatikana kwa simu...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mbali na kupata burudani, chakula pamoja na vinywaji, mfundaji mashuhuri nchini Bi.Fatma atakuwa mfundaji kwenye Kongamano la Sauti ya Mwanamke Jijini Mwanza, tarehe 06.11.2016 Gold Crest Hotel.Ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wajasiliamali wenzangu, pamekuwa na changamoto nyingi sana kwenye sekta ya usindikaji hasa kwenye upande wa packaging embu njoon tujadili wapi pakupata packages kulingana na matakwa yetu...
1 Reactions
0 Replies
500 Views
Kiwanja kipo chamazi km 1 kutoka barabara kuu. Bei mil 5 kwa ekari
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu,kiwanja kinapatikana kwa 5milion.kipo mkulanga kise magengeni.DAKIKA 5 kutoka barabara kuu kwa miguu .UKUBWA NI 35 kwa 30 Hakijapimwa. KINGINE KINAPATIKANA KWA 12...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Mimi ni mtaalamu niliyebobea kwa masuala ya Google AdSense na Facebook multi poster, Ninatengeneza AdSense account kwa bei Nafuu kabisa. Pia natengeneza mifumo kama vile Facebook multi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Yawezekana wewe ni Mjasiriamali, Mbunifu, Mwanateknolojia, ama Mtatuaji wa changamoto mwenye uraia wa Tanzania ? ambaye unatamani kubadilisha maisha ya watu haswa katika upande wa Afya vijijini na...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Salaam wakuu. Kama heading inavyojieleza hapo nahitaji viti (kununua)vile vya chuma vinavyotumika kwenye shughuli mbali mbali...kama kuna mwenye leads namna au maduka vinapopatikana(dar) nitashukuru
0 Reactions
0 Replies
4K Views
[emoji625]Samsung J5 Mpyaa [emoji625] Tsh 389,999. OFA OFA OFA [emoji457]4G" [emoji328]Kamera ya mbele 5MP [emoji328]Kamera ya nyuma 13MP [emoji332]16GB memory [emoji336]kioo 5.1...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom