Mke wangu ni mwalimu Wa shule ya msingi na anafanyia kazi Arusha. Kama kuna mwalimu ambaye angependa abadilishane naye au kama unamfahamu mwalimu ambaye angependa kwenda kufanyia kazi Arusha...
Habari zenu wakuu (IMESHAUZWA)
Nauza air condition aina ya WESTPOINT yenye maelezo kama lebo yake inavyosomeka hapo chini pamoja na picha nyingine
Imetumika kwa muda wa miezi sita tu. Na nilikuwa...
Iko Magomeni popobawa - Dar Es Salaam...
Ina vyumba vitatu vikubwa na eneo kubwa mbele yake la mita 20 kwa 20
Bei : 30million (mazungumzo yapo)
Contact : 0717 650800
Tafadhali serious buyer...
Habari wa ndugu
Nauza kiwanja kipo Tabata - Bonyokwa kisiwani karibu kabisa na shule ya Mesodonia, upande mmoja kinapakana na barabara ya Ole Meikoki inayoelekea chuo cha Masanja. Kina ukubwa...
Kuna aina mbili za mashine ya kukamaua alizeti nimezipenda natamani niagize moja wapo toka china ndogo ni USD 1,410 na kubwa ni USD 3,280 mpaka inafika bandari yetu ya dar, hofu yangu ni kumudu...
Vitu vifutavyo vinauzwa haraka sana
Tv brand new home base na warranty ya mwaka 290 24
*Toyota alteza 2002 model s200* _boss kalewa leo anapokea 6.5_
Toyota rav 4 kipis 6
Mistshubish canter...
Flash ni mpya na zina 128gb zitazokuwezesha kutunza zaidi ya movie 100 zaidi ya picha, miziki na vitabu 20,000
Bei: 35,000
Mikoano zinasafirishwa
Pm me
Tupo timasi stationery, stendi ya...
Habari zenu wadau, nilikuwa nahitaji TV nikawa naperuzi mitandaoni kutafuta wauzaji na nikapata hawa wanajiita Electronic Dealers wanauza TV kwa bei nafuu toka Zanzibar na pia wanasafirisha kuja...
FAIDA ZA VITUNGUU SWAUMU.
FOREVER GARLIC THYME:
Ni vitunguu swaumu vina Allicin inayotoa harufu na yenye sifa kubwa ya kuua bakteria waingiao kwenye mishipa ya damu na kudhuru Mapafu, kibofu...
Ni mashamba yanayofaa kwa kilimo cha miti ya mbao
Yanapatikana ktk tarafa ya lupembe mkoani njombe
Bei ni tsh laki moja kwa heka,
Zinauzwa kuanzia heka kumi na kuendelea.
Kwa mawasiliano nipigie...
New Apple Update Price...
I7 32gb Black 850$
I7 32gb Other Colour 810$
I7 128gb Black 900$
I7 128gb Other Colour 875$
I7 256gb Black 1,030$
I7 256gb Other Colour 1,015$
I7 Plus 32gb Black...
Wandugu! Mimi ni kijana wa kiume mwenye cheti cha Clearing and forwardng na cheti cha Maabara! Izo fani ninazo, lakin Kaz ambayo nitafanya kwa aman ya Moyo na kuifurahia n kua mmoja wa Afisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.