Special Thread : Vifaa bora vya ujenzi, changamoto za Ujenzi.

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,709
Points
2,000

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,709 2,000
Habari Wana JamiiForums,.


Nimewaza juu ya kuwa na thread maalum kuhusiana na vifaa bora vya ujenzi, mahali pa kuvipata, tahadhari n.k


Pia tuweze kushirikishana changamoto mbalimbali za ujenzi, gharama, tahadhari na mambo ya msingi ya kuzingatia kabla ya kuanza ujenzi wa nyumba, wakati wa ujenzi na hata wakati wa kukamilisha ujenzi yaani finishings.


Naomba tupate kujifunza kutoka kwa wale wenye uzoefu kwa kupeana taarifa sahihi kwani mara nyingi tumekuwa tukipotoshana na wengine kukatishwa tamaa kwa taarifa za uongo.Naomba kuwasilisha.


Cc: Invisible Paw Rider JamiiForums
 

Forum statistics

Threads 1,364,616
Members 520,767
Posts 33,322,931
Top