Habari zenu wana JF... Ninauza korosho kilo moja kwa sh 3000 nina kilo 200. Nipo Dar es salaam, korosho zipo wilaya ya mkuranga na free delivery kwa dar es salaam. Kwa mteja aliye serious ani DM
PUREWELL(water filter) ni kifaa kizuri sana kwa ajili ya kusafishia maji na kufanya yawe safi na salama.
Hautakuwa na haja ya kuchemsha tena maji.
Kifaa hiki pia kinatibu SI kusafisha tu minyoo ya...
Wadau mimi ni mtaalamu wa kudesign websites na mitandao mwingine kulingana na mahitaji yako. Kwa yeyote anayehitaji tuwasiliane 0687535650, Bei ni kuanzia 250000 unapata website yako safi kabisa.
nawasalimu wa wakuu!!!!
kwa anae uza dry za mkono na za kawaida zile za saloon ya kike..
naomba mnitajie bei zenu ikiwezekana na pc kabisaa nashida nazo.
ikumbukwe pesa yangu ni fupi na kifaa...
Kwa mtu yeyote anayemiliki ghorofa la kuanzia floor mbili kwa matumizi ya ofisi ndani ya 'jiji' la Bukoba tutafutane.
Jengo hilo liwe ni jipya na la kisasa kabisa...
Liwe na hati,
Liwe halina...
Simu ni used mwez 1 na week 2,ipo kweny hali nzuri,rangi yake ya champaign gold...nakupa charger,ear phon,box na risit ipooo bei ni 170,000 km unahitaji ni pm.
Wale wenye laptop au pc zisizo na WiFi haijalishi ni computer ya aina gani ina inakuja na CD zake kwa ajili ya driver..inauwezo wa kudaka na kutawanya wireless mita 300.contact 0657154954
Bei 40000
Habari wanabodi,mwenye mashine ya kisasa used au brand new ya kufua na kukausha nguo at the same time(two in one) yaani washing and drying machine kwaajili ya biashara naomba tuwasiliane ila iwe...
One 2 One focus co.ltd ni kampuni ya ujenzi inayosaidia wateja wake kupata mikopo ya ujenzi wa nyumba za makazi na za biashara.
Ili uweze kukopa inabidi uwe na kimoja kati ya vifuatavyo;
Hati ya...
Salaamu wanaJamii,
Nataka kupata mtu anayeleta Samaki aina ya SATO WABICHI kutoka Mwanza kuja Dsm na anauza kwa Jumla tuwasiliane. Nataka kupata Mzigo (Mawasiliano: 0767235923).
Karibu sana!
Tunauza vifaranga wa nyama waliokwisha patiwa chanjo zote New castle, Typhod pamoja na Bomboro. Wana afya njema na wako katika hali nzuri sana.
Umri: Siku 12
Idadi: 150
Tsh. 3300 kila kifaranga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.