Nyumba inauzwa mbagala mwanamtoti

Nyumba inauzwa mbagala mwanamtoti

clinton gidioni

Senior Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
172
Reaction score
194
Habari wanajamii forum nyumba inauzwa mbagara mwanamtoti Pia iko karibu na barabara na gari linafika hadi nyumbani.

NYUMBA INASIFA ZIFUATAZO.
- ina umeme
- ina maji (maji sio ya chumvi)
-nyumba imesha sakafiwa pia ina tiles na gypsum kwa juu.
-nyumba ina vyumba vinne vya kulala ina jiko ina stoo ina vyoo viwili cha nje na cha ndani.

Pia ipo karibu na barabara ya kuelekea mbagara kuu.
NYUMBA INA NYARAKA ZOTE. BEI NI SH 55M MAONGEZI YAPO.
Karibuni sana njoo PM KWA MAWASILIANO ZAIDI

WP_20161103_002.jpg
WP_20161103_004.jpg
WP_20161103_006.jpg
 
Kwanini huwa hamjifunzi kuvutia wateja kwa hats picha? unaelezea vyumba picha wapi?

Mfahamu kuna wanaotaka kununua iwe ya kuwekeza wapangishe, sasa mtu nikiona hii naona kazi kubwa ipo kufanya hapo. Nafikiria ni millioni ngapi nitaongezea na unaongelea kama siyo nyumba imayoonekana katika picha.

Michanga inafanya nini hapo? etc

Hata size ya kiwanja haujaweka, nitajivutaje kukutafuta?

Hizo tiles etc why hauzionyeshi na mengineyo?

Ni mimi nayeweza kutaka kuwekeza ndio nimeuliza.
 
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 750 yani 25 kwa 30. Picha za tiles hizo hapo ambazo hiyo ya kwanza ni kwa ndani na hiyo ya pili ni nje
WP_20161103_007.jpg
WP_20161103_005.jpg
 
Habari wanajamii forum nyumba inauzwa mbagara mwanamtoti Pia iko karibu na barabara na gari linafika hadi nyumbani.

NYUMBA INASIFA ZIFUATAZO.
- ina umeme
- ina maji (maji sio ya chumvi)
-nyumba imesha sakafiwa pia ina tiles na gypsum kwa juu.
-nyumba ina vyumba vinne vya kulala ina jiko ina stoo ina vyoo viwili cha nje na cha ndani.

Pia ipo karibu na barabara ya kuelekea mbagara kuu.
NYUMBA INA NYARAKA ZOTE. BEI NI SH 55M MAONGEZI YAPO.
Karibuni sana njoo PM KWA MAWASILIANO ZAIDI

View attachment 430497 View attachment 430499 View attachment 430500
KWA MILIONI 20 UTAMPATA WA KUMUUZIA...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom