Nahitaji business parter in Agri business

Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,459
1,832
Habari, sitaandika details nyingi ila tunaweza tukawasiliana kwa maelezo Zaidi kupitia namba ya simu ntakayoiacha hapa.
ki msingi natafuta partner wa kufanya nae biashara, na katika partnership hii kila entity itasimama kwa kujitegemea ila ni katika value chain ya bidhaa iyo iyo.

Tunajihusisha na shughuli za kilimo Zaidi na ufugaji. na partnership inayohitajika ni katika kuwekeza nguvu Zaidi yakatika value addition sales and distribution.

kwa walio tayari tafadhali tunaweza kuwasiliana kwa kutumia nambari 0755815174
 
Back
Top Bottom