Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

SAMSUNG LAPTOP CORE I3 6GB RAM 500GB HARD DISK IKO VIZURI SANA ,BEI NI SHILINGI LAKI 4 .... 400,000/= ... MAELEWANO YAPO NIPO MBEYA IYUNGA TUWASILIANE 0652 823513.
1 Reactions
7 Replies
934 Views
Kama unahitaji nyumba, viwanja, magari, vyumba, frem za maduka, nyumba za stoo(Godown) n.k. ndani ya jiji la Arusha, wasiliana nasi kwa 0767287941 Kwa sasa tuna: 1. Nyumba Moshono yenye...
0 Reactions
184 Replies
33K Views
Mimi ni mkulima wa nyanya; niko mbio ni kuanza mavuno ya nyanya zangu. ni nyanya za kawaida pamoja na zile ndogo ndogo {cherry tomatoes} wengine wanaziita baby tomatoes. Nakaribisha mwenye uhitaji...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
nipo kahama - shinyanya nicheki 0715140001
0 Reactions
6 Replies
4K Views
kwa yeyote atakayeisaidia wapi nitapata Karela tafadhali.nipo Arusha ila hata wa mikoani nitapokea tu.tafadhali nijulisheni ama mwenye nayo anijulishe.asanteni.kwa ushirikiano wenu.
0 Reactions
38 Replies
11K Views
Kama kuna mtu anayo naomba awasiliane na mimi kupitia whatsapp namba yangu ni 0759 033225 au 0713872828
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Samsung j5 kwa 300000 nipo songea
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Asalam wakuu Binafsi naamini kuwa tatatizo la nguvu za kiume ni la kisaikolojia zaidi kuliko tunavyofikiria. sasa hapa mtaani kwetu nilipita kwenye kijiwe cha kahawa chenye mchanganyiko wa wazee...
5 Reactions
74 Replies
12K Views
Hello wadau nina gari aina ya toyota surf naomba anayeuza Bampa la nyuma ya Gari na kile kikofia cha juu cha nyuma ya Gari aniuzie. ziwe kwenye hali nzuri ...nipo mwanza
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Nauza kiwanja, kipo eneo linaitwa Italiani kabla haujafika Chanika, Limezungukwa na nyumba zilizoisha tayali, ni 20kwa 20. bei 3,000,000. Maelewano yapo. 0718571137, 0756528845
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Njoo nikuuzie Prado II ulitawanye uuze vipande vipande. gari inatembe engine 3l nzima kabisa. bodi safi inahitaji marekebisho kidogo. viti safi kabisa, ina original roof rack na ngazi aluminum...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ipo morogoro mjini, nitafute kwa no. 0717510480
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ipo Goba Matosa umbali wa mita 250 kutoka Barabara ya lami,ina vyumba 3 vya kulala(kimoja master bedroom) dinning,sitting room,jiko,public toilet,Kiwanja kina ukubwa wa 30x22 bei tsh 55m.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je unahitaji nyumba sehemu tulivu isiyo na vurugu? A/ni isamilo nyuma ya mwenge primary school 1.ina bedrooms 3,including à Master bedroom,jiko,sebule nk 2.kila kitu kipo.... Ulinzi. Maji.umeme...
0 Reactions
6 Replies
988 Views
Wadau Jf, Kwa anajua masoko ya mayai Znz, nataka nijaribu kumpeleka,mimi nipo Kitunda ambako ndiko mayai karibu yanako tokea. Kwa anayejua bei anipe mwanga. Asante.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wateja wa gesi ya oryx mwanza. Hebu ukiishiwa gesi tupigie tukuletee hadi mlangoni. Usafiri buree kabisa. Tucheki kwenye namba 0688955988 au 0754810008
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tecno L8 ipo kwenye Hali nzuri na ina wiki moja tu tangu itoke kwenye box lake, Bei Ni 195,000/= alie Tayari ani PM
0 Reactions
6 Replies
6K Views
wakuu nauza shamba lenye ukubwa wa Hekari moja na likiwa na baadhi ya mazao kama mikorosho, miembe, minazi na karanga, Shamba liko Manispaa ya mtwara sehemu inaitwa Naliendele shangani ni karibu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nauza nyumba yangu ipo mbagala zakhem ina vyumba viwili, jiko, choo na ipo na fensi ya matofali. Inaumeme pia ina nafasi ya kuongeza vyumba viwili na ipo katika hali nzuri. Gari inafika mpaka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Gar nzuri BMW X5 inauzwa Tsh 60,000,000/= Karibuni sana...mazungumzo ruksa... 0715-011022
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom