Biashara ya mayai Znz toka Bara

Biashara ya mayai Znz toka Bara

Muvina

Senior Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
135
Reaction score
58
Wadau Jf, Kwa anajua masoko ya mayai Znz, nataka nijaribu kumpeleka,mimi nipo Kitunda ambako ndiko mayai karibu yanako tokea. Kwa anayejua bei anipe mwanga. Asante.
 
Nipo Zanzibar , hebu nicheki tuchat tuone kama tunaweza fanya biashara.
0716403314
0625885424.
 
Sasa yanaiuzwa trey 8500 mitaani rejareja ila wakati wa bata za sikuu bei hupanda huku!
 
Back
Top Bottom