Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Husika na kichwa cha habar hapo juu plz kwa wale wanaotumia kingamuz tanjwa hapo juu naomba kujua bei yake na unapata Chanel ngapi na ubora wake na malipo kwa mwenzi ni bei gan shukran
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Kwakweli tumechoka kuonewa, kutukanwa na kunyanyaswa na waajiri wetu" ndivyo anavyoanza kusimulia Mwalim Kerambo. Kerambo ambaye ni miongoni mwa wahamasishaji juu ya chama kipya cha walimu wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kuna shamba lina uzwa mzenga kisarawe, Umeme umefika heka moja sh 1,000,000/= shamba lina heka tano .liko kilometa 25 kutoka Mlandizi sokoni Walio interested tuwasiliane
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa kibaha ina kiwanja cha kuendeleza ujenzi ipo kongowe Nyumba ipo mita 900 (0.9km) kutoka barabara kuu ya morogoro. Ni vyumba 2 self na choo na mfumo vimekamilika. Bomba kubwa la...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
J7
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Gari tajwa inahtajika...Iwe na reasonable price, isiwe imeguswa wala kupigwa mkono. iwe bado inahta kiasi chake. Cjanyooka showroom maana mil 14+ sina Nipe ofa yako tufanye biashara. Usiwe dalali
0 Reactions
3 Replies
738 Views
20x20 Goba mpakani. Karibu kabsa Mpakani Sec school. Ina hati ya serikali za mtaa. 150 metres from main road. Maji na umeme yapo Bei 6 mls Mpigie huyu Call: +255714481167
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau amani iwe Nanyi. Plot moshi inauzwa ipo Shia mjohoroni mbele kama una tokea kiborloni. Ukubwa: 1ekari 150mita kutoka barabara kuu ya Moshi~Dar BEI:50ml. hakuna udalali
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wasalaam members wa jamiiforums!.. Tunawakaribisha tena kwa ajili ya huduma za mtandaoni (online services). Tuna design website za kisasa na za aina mbalimbali, tunasajili domain na kuhost...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Habari, nipo mwanza Kwa wenye viwanda wanaohitaji dagaa kutoka kanda ya ziwa za kutengenezea vyakula Kuku anitafte, na supply kuanzia kilo 2000 anitafte no 0689884393. Asante
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau habari Kama kichwa cha habari kilivyo, nimeipenda hiyo gari iko Japan nimeona bei yao ni 4.1mil hivi hadi inafika hapa na kuisajili inapaswa niandae kiasi gani, halafu hata changamoto zake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ommytech.com inakupatia huduma ya hosting kwenye website yako pia kununua domain kwa bei rahisi kabisa kma utahitaji wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0752292473 karibun
1 Reactions
3 Replies
767 Views
Habarini wakuu,kwa anaeuza mashine ya selcom naomba anipm Asante
0 Reactions
0 Replies
444 Views
SAMSUNG LAPTOP CORE I3 6GB RAM 500GB HARD DISK IKO VIZURI SANA ,BEI NI SHILINGI LAKI 4 .... 400,000/= ... MAELEWANO YAPO NIPO MBEYA IYUNGA TUWASILIANE 0652 823513.
1 Reactions
7 Replies
931 Views
Kama unahitaji nyumba, viwanja, magari, vyumba, frem za maduka, nyumba za stoo(Godown) n.k. ndani ya jiji la Arusha, wasiliana nasi kwa 0767287941 Kwa sasa tuna: 1. Nyumba Moshono yenye...
0 Reactions
184 Replies
33K Views
Mimi ni mkulima wa nyanya; niko mbio ni kuanza mavuno ya nyanya zangu. ni nyanya za kawaida pamoja na zile ndogo ndogo {cherry tomatoes} wengine wanaziita baby tomatoes. Nakaribisha mwenye uhitaji...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
nipo kahama - shinyanya nicheki 0715140001
0 Reactions
6 Replies
4K Views
kwa yeyote atakayeisaidia wapi nitapata Karela tafadhali.nipo Arusha ila hata wa mikoani nitapokea tu.tafadhali nijulisheni ama mwenye nayo anijulishe.asanteni.kwa ushirikiano wenu.
0 Reactions
38 Replies
11K Views
Back
Top Bottom