Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza laptop Dell HDD.......320gb Processor....core i3 RAM...........4gb Iko kwenye hali nzuri Bei 350,000/- Maelewano pia yapo. Kwa maelezo zaidi PM
0 Reactions
4 Replies
974 Views
Nauza mitungi ya Mihan gas 6kg kwa bei ya sh 70000 ukiwa kamili na Regulator, Burner, na Trivet, yaani wewe ni kuchukua na kupikia tu. Napatikana Kongowe-Kibaha. Ukiwa maeneo ya Kibaha unaletewa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wana jf. Nina laki moja cash naitaji smartphone iliyopo katika hali nzuri ani pm
0 Reactions
16 Replies
1K Views
appoh 19:59 Today nauza samaki wa mapambo aina tofauti kama zifuatavyo black more shiling 10000 kwa pea serfin more shiling 10000 kwa pea orange more shiling 10000 kwa pea...
0 Reactions
56 Replies
12K Views
Gari inauzwa, ni suzuki vitara yenye engine ya V6 manual. Haidaiwi popote. Body/engine vipo katika hali nzuri. Bei ni 5m. For serious buyers, pls tuwasiliane!
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Mwenye dish la fut 15 nina shida nalo
1 Reactions
3 Replies
609 Views
Mwenye uhitaji wa line ya mpesa kwa ajili ya biashara ani PM bei ni 120000 tu.
0 Reactions
4 Replies
872 Views
Natafuta mteja wa air condition nimeitumia kwa mieezi mtatu tu. Nimeacha kuitumia baada ya kufunga biashara yangu ya Saloon ya kike. Kwa hiyo nimeamua kufungua aina nyingime ya biadhara ambayo...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu wa nchi Natumaini mnaendelea vizuri na huu mwendo kasi , Nina mpango wa kuhamia Dodoma na Nina scania tipper mende kwa ajili ya biashara yaani kubebea mchanga .Naomba kuuliza kama Kuna mtu...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Naitaji frem ya biashara dodoma shm yoyote.kwa mwenye ufahamu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa mtu yoyote anaweza kunisaidia kupata shm ya kukodi kwa ajili ya carwash dodoma.thanks in advance 0719980816
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta display ya simu LG G Pro 2, mwenye nayo nicheki 0714495367
0 Reactions
0 Replies
778 Views
BEST HD Spy Wrist Watch 8GB Video Recorder Hidden Camera Waterproof Camcorder PRICE TSH 140000= Contact: Only serious buyer may call/ whatsuApp )0765428633 [emoji95]ONYO USIWEKE NAMBA YAKO SIMU...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa Dodoma ml 20 vyumba vinne na sebule kubwa IPO kwenye makazi bora ya nzuguni 0769057700
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kiwe katika maeneo ambayo tayari yameendelezwa, maeneo ambayo watu wameshajenga au ujenzi unaendelea...na kiwanja kiwa na hati miliki. Kiwanja kiwe na ukubwa usiopungua 1000 square meters. Kama...
1 Reactions
0 Replies
622 Views
NAUZA LEXUS IS 200 YA MWAKA 2002,VIBALI VYOTE VIPO NA NI NAMBA D' KWA ANAETAKA KUNUNUA ANI PM.BEI NI TSH 9,500,000/=MAELEWANO YAPO.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Shamba linauzwa liko Kiegea, karibu na Tungi Estate - Manispaa ya Morogoro Lina ukubwa wa heka 10, Bei Milioni 16 (mazungumzo yapo) Mawasiliano: 0712263764
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Brands kati ya LG, Samsung au Star-X, mpya au used. Offer yangu ni sh. 600,000/= Hakikisha sio copy ya brand nilizo zitaja. Njoo PM naamini tutafikia makubaliano. Vizuri ikiwa na HDMI port 2 na...
1 Reactions
3 Replies
772 Views
Back
Top Bottom