"Kwakweli tumechoka kuonewa, kutukanwa na kunyanyaswa na waajiri wetu" ndivyo anavyoanza kusimulia Mwalim Kerambo. Kerambo ambaye ni miongoni mwa wahamasishaji juu ya chama kipya cha walimu wa shule binafsi.
"Kwa miaka mingi walimu katika shule binafsi wamekuwa wakilalamikia kukosa haki zao. Kerambo anataja haki hizo kama vile likizo yenye malipo. Kufukuzwa kazi bila kufuata sheria, kufanyishwa kazi hata zinazotweza utu wao, n.k
Chama hicho kipo katika hatua za mwisho za usajiri.
Imeandikwa na Kerambo, P.M
0716444013/0767444713
philemonkrmb7@gmail.com