Kiingilio bure,ila katikati ya huduma kuna kuchangia ili huduma iendelee.Hii sio ya kuchangia kiingilio in BURE KABISA
Teh teh...Hiyo inaitwa sadaka...
Kila mtu anazungumza Mara mahusiano Mara ujasiliamaliMaarufu kiaje??
Naamini kupata demu ni juhudi zako ila pale kila utakae muona yupo single xo ni ujasiri wakonitapata demu huko