Nyumba inauzwa kibaha

Nyumba inauzwa kibaha

impongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
8,844
Reaction score
7,901
Nyumba inauzwa kibaha ina kiwanja cha kuendeleza ujenzi ipo kongowe

Nyumba ipo mita 900 (0.9km) kutoka barabara kuu ya morogoro.

Ni vyumba 2 self na choo na mfumo vimekamilika.

Bomba kubwa la Maji safi dawasa (distribution network) lipo umbali wa mita 100

Umeme upo na BEI ni million 15 ni bei ndogo kulingana na hali halisi ya uchumi.
 
Nyumba inauzwa kibaha ina kiwanja cha kuendeleza ujenzi ipo kongowe
Details mkuu...
Ukubwa wa kiwanja
Umbali kutoka barabara kuu
Kiwanja kimepimwa au
Documents zipo
Bei ikiambatana na picha
Bila hivyo,kwa hili jukwaa hujatenda haki!
 
Details mkuu...
Ukubwa wa kiwanja
Umbali kutoka barabara kuu
Kiwanja kimepimwa au
Documents zipo
Bei ikiambatana na picha
Bila hivyo,kwa hili jukwaa hujatenda haki!
Mkuu nitapiga picha baadae ila kiwanja ni sq 450 nyumba imejengwa vyumba 2self na choo zake na kwa mbele unaweza kujenga nyumba ingine na parking ya gari
Nyumba ipo mita 900 kutoka morogoro road
 
Details mkuu...
Ukubwa wa kiwanja
Umbali kutoka barabara kuu
Kiwanja kimepimwa au
Documents zipo
Bei ikiambatana na picha
Bila hivyo,kwa hili jukwaa hujatenda haki!
Nimerekebisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom