Tunauza pilipili hoho kwa jumla na rejareja.
Shamba lipo Mkuranga, tuna uhakika wa kuvuna magunia 20 yenye kilo 100 kila wiki.
Unaweza kuletewa mahali ulipo au ukanunulia shambani. Pia kama una...
Tunauza pilipili hoho kwa jumla na rejareja.
Shamba lipo Mkuranga, tuna uhakika wa kuvuna magunia 20 yenye kilo 100 kila wiki.
Unaweza kuletewa mahali ulipo au ukanunulia shambani. Pia kama una...
Kwa mkazi wa Arusha anayehitaji nymba ya kupanga maeneo ya Engosheratoni,
Vyumba viwili,jiko na choo ni vya nje,
Umeme ni wa solar,Maji yapo karibu tu na hapo nyumbani,
Bei ni maelewano...
Nyumba ya vyumba viwili vya kulala kimoja master, sebule na jiko inauzwa salasala, ipo kwenye kiwanja chenye ukubwa wa 20m x 20m, haina hati, bei ni Tshs. 30,000,000/= kwa anayehitaji anaweza...
Nyumba ya vyumba viwili, kimoja masta, jiko na sebule inauzwa salasala, imo kwenye kliwanja chenye ukubwa wa 20m x 20m, haina hati, bei Tshs. 30,000,000/- kama unahitaji tafadhali piga simu namba...
Wakuu habari zenu
Naomba kujua bei ya injini iliyotumika yenye maelezo haya injini ni ya Toyota, 1JZ D4D vvti. Naje inauzwa ikiwa pamoja na gearboz au injini pekee?
Wasalaam
Android phones nzuri kabisa zinauzwa kwa bei ya Promosheni.
Inatumia line 2
Front and Back camera available.
MTK MT6735 processor
ARM® Cortex®-A53™ 1.0GHz x 4
1GB RAM
4GB ROM...
Habari bwana jf, kwema? Kama kuna mwenyekuuza lain ya mpesa, Mimi hapa nahitaji kununua kwa ajili ya biashara, Niko tabata dsm, napatikana kwa namba 0717267751, offer yangu ni tsh 150,000