uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 514
Wakuu habari zenu
Naomba kujua bei ya injini iliyotumika yenye maelezo haya injini ni ya Toyota, 1JZ D4D vvti. Naje inauzwa ikiwa pamoja na gearboz au injini pekee?
Wasalaam