Umetangaza kuuza weka na bei kwani kuna siri gani tena na unauza kitu chaako?Nauza laini za Tigo pesa na vodacom bei nitafute 0713 877933
Ukiwa na line ya tigo pesa na mpesa mtaji unatakiwa kuwa nao sh ngapi?huwa zinauzwa sh ngapi huko kwenye makampuni?kwa ni ni unaziuza usijeuzia mtu matatizo yako mkuu!Hahaha nimekuelewa mkuu sh 450000 kwazote
Je kuna salio limebaki ktk hizo laini.Je umesajili kwa jina lako binafsi au jina la biashara mkuuHahaha nimekuelewa mkuu sh 450000 kwazote
Nataka ya mpesa, unapatikana wapi na ni bei gani, mi Niko darNauza laini za Tigo pesa na vodacom bei nitafute 0713 877933
Niletee nina 150,000, Niko tabata relini, 0717267751niko Dar call 0715 877933
bei 170000 voda
Sijakuelewa hapomda gani utakuwepo ?utalila hiyo nitakudai hiyo 20000
Niuzie kwa 150,000, ndio pesa nilinayo Mimi, 170,000 sina.Sijakuelewa hapo
SMS nimeiona nikakujibu kwa voda, angalia inbox yako, kama 150, 000 inakulipa niletee nikupe, kwa 170 000 hapana siweziutalipa hiyo 150 nitakudai 20000 pia nimekutumia sms kwenye no yako