kabla sijakuunganisha na Bro anaevihitaji ,, naomba uniambie kama vinauzwa vikiwa tayar vimetumika au ni Duka ya vifaa hivo??Habari wadau,ninauza vifaa vya stationary kwa bei nafuu kabisa,kama kuna mtu anahitaji tuwasiliane kwa PM.
Vipo Morogoro mjini.