Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habri gani wakuu? Tunapenda kuwajulisha kuwa tunafanya shughuli zilizoainishwa kwenye kichwa cha habari,yaani ujenzi wa mabwawa ya samaki,nyumba za kuishi na mabanda ya kisasa ya kuku,nguruwe na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
viwanja vya makazi vinauzwa.. vimeshapimwa utapatiwa na hati miliki... ukubwa.. sqm 450 bei..milioni 4,kwa walimu unaweza pata kwa mkopo mahali....karibu na bagamoyo.. kwa maelezo zaidi..
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana Jukwaa! Nauza Pikipiki yangu Boxer BM 150, Ipo katika hali nzuri, nimekuwa nikiitumia kwa matumizi binafsi. Ipo Morogoro Mjini. Now naiuza Coz nahitaji Kununua Usafiri Mwingine. Bei...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
I am looking for a trusted person coming to Tanzania from South Africa before the end of this month. I want to buy Corks and Capsules from RX South Africa but the cost of delivery through formal...
0 Reactions
0 Replies
507 Views
Nauza mashine ya kutotoleshea mayai ya kuku, kwale na bata mzinga; uhakika wa kutotolesha ni asilimia 98 Inauwezo wa kuchukua mayai 1056 kwa mkupuo. Ni automatic inafanya kila kitu yenyewe. Ni...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Techno c5 inahitajika please mwenye nayo ani pm niko dsm
0 Reactions
2 Replies
784 Views
Habari Wapendwa, Napenda kuwatangazia ya kwamba nauza kifaa kidogo cha kutengenezea tambi za dengu au chauro kwa jina lingine. Nauza 22,000/-Tshs tu. Nakuletea popote ulipo DAR ES SALAAM, kwa wale...
2 Reactions
16 Replies
15K Views
Ina vyumba vitatu ndani na sehemu ya wageni. Chumba cha master kina choo ndani. Ina banda la uani pia lina vyoo viwili, uani pia jiko na store. Nyumba imezingusha uzio bei ni mil 80. Mwisho
0 Reactions
2 Replies
664 Views
Hello Jamani natafuta container la kukodi, au cold room maeneo ya kati ya IRINGA na TUNDUMA! Yeyote mwenye habari, tuwasiliane kupitia, whatsapp au sms number +255 754 339922, au ani-pm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa maeneo ya chalinze ambayo ukubwa wake ni heka nane(8) na lipo barabarani karibu na rami kila plot moja ambayo ni sawa na heka mbili na nusu ni milion miatano mwisho ni mil mia nn...
0 Reactions
6 Replies
964 Views
Kutana na wachoraji wa ramani kutoka Mbeya university of science and technology (MUST).....pia tuna design mbalimbali za majengo na kukadilia gharama za awali za ujenzi yaani (boq)
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Napenda kutoa pongezi kwa kiwanda cha mirija ya kunywea juice cha Tanpicks cha Arusha, jitahidi kuongeza uzalishaji na hatimaye kuteka soko lote la africa mashariki
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pata vyungu vya joto kwa ajiri ya kukuzia vifaranga kwa bei nafuu kabisa, vyungu hvi huweza kukaa na joto kwa mda w masaa kumi na zaidi na kuweza kulinda kuku na baridi 12000 kwa kimoja, chek mi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Tafadhali rejea kichwa cha habar hapo juu. Nahitaji kununua gari moja wapo hapo juu. Naomba ushauri juu ya gar hizi hasa uimara wake fuel consuption na pia kuhusu confortability. Pia mnaweza...
1 Reactions
30 Replies
7K Views
Cpu kwa 70, 000/= -Proccesor-i5 -Ram-2gb -hd-200gb -dvd writer -Nvidia card -keyboard Inafaa sana kwa shughuli za kiofisi. Napatikana mbezi mwisho-kimara Contact. 0755360552
0 Reactions
18 Replies
3K Views
HABARI ZENU WAPENDWA, NAUZA NOAH YANGU SR 40 YENYE NAMBA T 585 BNK KWA MILIONI SITA NA LAKI NANE (6,800,000/=) PUNGUFU UNAONGEA, GARI NI NZIMA NA HAIDAIWI, GARI IPO DAR, NATOKA NAYO GOBA HOME...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau nimejaribu kufuatilia hata through internet lakini sijapata helpful information zozote..nahitaji kujua zilipo ofisi zao au/na contacts zao hawa jamaa wa ICAP........nakumbuka nilishawahi...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Natafuta soko la nnta ni wapi hapa dar na ni bei gani kwa kilo waungwana
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Pata tablet ya 4g yenye resolution nzuri ya kioo kwa 250,000Tsh tu. Ni at&t ila haisumbui chochote kuhusu ussd wala mtandao. Inakaa na chaji vizuri tu. Nitafute kwa 0673206639.napatikana dar es...
0 Reactions
8 Replies
864 Views
Back
Top Bottom