Nauza hio pikipiki bei ya kutupa (ukita kadi isome majina yako ni ndani ya saa 24 tayari kadi inasoma majina yako)
Imetumika kwa matumizi binafsi haijafanya kazi ya boda boda
Bado haijaguswa na...
Nauza Subwoofer aina ya mrUk UK21T23 kwa bei ya Tshs 110,000
Nimeitumia kwa muda wa miezi 3 tu bado ina upya wake na boksi lake pia bado lipo
Haina tatizo la aina yoyote na haijawahi kwenda kwa...
Nauza Subwoofer aina ya mrUk UK21T23 kwa Tshs 140,000
Subwoofer hii nimeitumia kwa muda wa miezi mitatu tu hivyo bado ina upya wake na haina tatizo la aina yoyote na boksi lake pia lipo
Mziki ni...
Jipatie spy camera uweze kurekodi
matukio na ukaona kupitia simu yako
Camera ina sifa zifuatazo
Unaweza ukaunganisha camera na wifi ya simu yako ukaona kinachoedelea live kabisa
Au ukaweka...
3000mAh Battery life (24 hours)
Up to 10 devices
200metres
Can also be flashed to be used for ALL NETWORKS (Not recommended)
In a mint Condition
.
Price: TZS. 70,000/=
.
Call: 0717 650800
Habari,
Nauza Kabati la nguo, tv stand, sofa na subwoofer
Kabati la nguo 120000
Tv stand 30000
Sofa 40000
Subwoofer 40000
Vitu vipo mwananyamala biashara complex
Nipigie +255719073206
Note...
Karibu tukupatie VFD kwa bei ya punguzo kwa mwezi huu wa kwanza (January 2023).
Bei ya kawaida ni 300,000/= ila kwa mwezi huu wa kwanza tutakuuzia 280,000/=
VFD ni mfumo unaokuwezesha kutoa...
Ni router inayotumia single sim card ya Halotel, ipo na box lake ila imetumika kidogo
Bei Tsh 40000
Location: Mwanza
Charger haina, ila inatumia charger ya simu
Halotel wanasema kifaa hiki kina...
Knauzwa milioni 18 maongezi yapo, ipo Morogoro mjini, Kilakala.
Mawasiliano: 0627518825. Imetumika misimu miwili.
Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
LAPTOP : DELL INAUZWA IPO. MOSHI MJINI MAENEO YA KCMC CHUONI , MAPIPA ROAD.....INA RAM 8GB , ROM 1 TB SYSTEM TYPE NI 64 bit , ..INATUMIA WINDOW 10 Pro...
Bei LAKI 9. CHARGE HOURS 6 HRS...
Kwa yeyote mwenye kuhitaji Fridge yenye nafasi kubwa ya kuweka vitu na uwezo mkubwa wa kuhifadhi vitu kwa matumizi nafuu ya umeme basi anitafute kupitia namba hii
0673 17 5000
Bei yake ni Tsh...
HABARI, NAUZA VITU VYANGU VYOTE NI VIPYA KWA TSHS. 3.5M, CAMERA MPYA YA CANON 90D, LENS, U-GRIP PRO GIMBAL, REFLECTOR KUBWA, MEMORY CARD PAMOJA STAND YA CAMERA. VIMEFANYA KAZ MOJA TU. KWA...
Tunauza asali mbichi kutoka Tabora
Asali yetu ni original kabisa haijachakachuliwa hata kidogo
Kuthibitisha hilo unaruhusiwa kutest mpaka ukijiridhishe ndipo unafanya malipo
Kwawale ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.