Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,326
- 7,529
Habari wana Jf.
Nauza kiwanja kipo Chanika jirani na mtaa wa Ngwale.
Ukubwa ni mita 15*15,,bei ni 2.7mil,,maelewano yapo.
Kiwanja hakina hati,huduma mhimu kama barabara na umeme vipo.
Umbali ni 1.0Kms kutoka barabara ya lami ya Chanika.
Sababu ya kuuza ni shida ya pesa ili kutatua matatizo mengine.
Kuhusu mawasiliano naomba tuwasiliane PM kwa wanaohitaji.