Crown Athlete 2008 inauzwa

Crown Athlete 2008 inauzwa

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,747
Mileage 35000
Ina mwezi toka inunuliwe
Bei 35 mils
Cc2500
1480341272978.jpg
1480341277703.jpg
1480341283267.jpg
1480341290093.jpg
1480341300353.jpg
1480341307485.jpg
 
Tatizo nijini hili,kama huna urafiki na wazee wawese utalipaki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa analiuza la nini kama kaagiza mwenyewe.....au hakuulizia engine ya hizi gari...kaja kushtuka kanunua Meli ....

pipe za kuvuta mafuta ni nene kama chupa ya soda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haina tofauti na mark x mkuu unywaji wake ule ule.
Siyo kila gari linauzwa coz ya fuel consumption mkuu.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Haina tofauti na mark x mkuu unywaji wake ule ule.
Siyo kila gari linauzwa coz ya fuel consumption mkuu.
Hapana, Toyota crown ni daraja lingine kabisa tofauti na Mark X...unaona muuzaji hajasema engine ina CC ngap!! Ni kawaida sana ukikuta ni 6 cylinder 3499cc[emoji41]
 
Ina cc2500, sasa unategemea hilo gari linywe mafta ka IST kweli?
Na mtu mpaka anatoa 35 mls kununua gari kama hilo sidhani kama mafta kwake itakuwa big issue.
 
Tatizo nijini hili,kama huna urafiki na wazee wawese utalipaki
...kwa hoja hii,wanadamu tungeanza kuyaona haya mabichwa yetu ni 'tatizo' we ungekuwa wa kwanza kuomba upewe kichwa cha kuku!
 
Mkuu maisha tunatotautiana,cc3000 maisha haya ni issue Nina jamaa yangu analo brevis cc3300 kilasiku anagea wese tu usiige kimya kwa tembo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa analiuza la nini kama kaagiza mwenyewe.....au hakuulizia engine ya hizi gari...kaja kushtuka kanunua Meli ....

pipe za kuvuta mafuta ni nene kama chupa ya soda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenichekesha sana [emoji38][emoji38][emoji38] japo Crown sio za mchezo mchezo huwa ila ulaji wake wa mafuta ni wa kawaida
 
Basi utakua una pesa sana kama cc 3000 ni kawaida kwako, kama hauna pesa na unasema ni kawaida....lazma utakua una jishaua tu... unazungumzia engine mbili za carina yenye cc1500. [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ina cc2500, sasa unategemea hilo gari linywe mafta ka IST kweli?
Na mtu mpaka anatoa 35 mls kununua gari kama hilo sidhani kama mafta kwake itakuwa big issue.
Uandae mikataba yako vizuri sio kesho tena unakuja na mkwala oooh mwenye crown hii namtafuta!!!!
 
Usikariri mkuu....
We all learn from mistakes.
Ambaye hajawahi kosea awe wa kwanza kurusha dongo...
 
Basi utakua una pesa sana kama cc 3000 ni kawaida kwako, kama hauna pesa na unasema ni kawaida....lazma utakua una jishaua tu... unazungumzia engine mbili za carina yenye cc1500. [emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa wenye gari zina cc 5000 watasemaje mkuu.
Huwezi linganisha perfomance ya engine ya crown na ist sasa usitegemee crown i act kama ist ni sawa na watu ambavyo uwa wanataka linux i act kama windows kitu ambacho hakiwezekani.
 
Kweny millage 35000 umesema uwongo hili ndio tatizo letu sisi watanzania hakuna kitu kama hicho gari ya mwaka 2008 .

Tuwe wakweli jamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom