Viwanja vilivyopimwa Mkuranga-Kitonga

Simburya

Member
Jan 20, 2014
30
8
Habari zenu wadau
Niliwahi leta uzi kuhusu project ya viwanja na leo nimeleta mrejesho kuwa Mungu mwema mradi umekamilika na vipo sokoni.

Uzi wa zamani unaweza kuuvuta hapa.
Mradi wa upimaji viwanja-Mkuranga

Pata viwanja vya makazi, makazi biashara na biashara.
Vipo Kutonga wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani km 7 kutoka Mkuranga mjini.
Bei Makazi:TZS 5500/sqm
M/Biashara:TZS 6000/sqm
Biashara:TZS12,000/sqm
Kwa mawasiliano piga namba 0762474188 ,0712309565 & 0655571440
Email:kitongaproject@gmail.com
Nineambatanisha approved survey plan.
Karibuni Sana.

1464964693755.jpg
1464964704990.jpg
1464964747156.jpg


Kwenye rangi nyekundu ndipo viwanja vilipo. .

Nimeweka ramani kuanzia Vikindu ili ilete picha kamili ya eneo lilipo.
Asanteni

1464965397848.jpg


1464965045105.jpg
1464965094734.jpg
 
Miundombinu ipo? Maji umeme barabara kwenda kwenye viwanja?
Hello Mkuu
Kuhusu barabarani ipo inayofika hadi kwenye viwanja.
Umeme na maji pia yapo 2.5km.. Ila ni sehemu inayokua hivyo haitakuwa taabu huduma kufika kwenye makazi.
Note ;Eneo lipo 2.5 kutoka barabara ya rami.
Aksante
 
Back
Top Bottom