House4Rent Nyumba inatafutwa kinondoni

Heri ya mwaka mpya. Ninayo Changanyikeni, mbuyuni, katikati ya UDSM na Chuo Kikuu cha Ardhi. Ni nzuri sana. Kama bado unahitaji nikuonyeshe picha zake. asante
 
Kama bado hujapata tutafutane tafadhali.
+255-714-591548.

[HASHTAG]#dalalitzee[/HASHTAG].
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom