Ndio.
Utaratibu wa kununua maembe upoje pale.
nilikuwa handeni juzi kuna vitu tulifata kabuku kuna shamba kubwa kweli la maembe ndo upo hapo mkuu?Mzigo upo shambani Kabuku. Yapo maembe kama 10,000 hivi. Embe 1 linauzwa 400 Tsh.
Mawasiliano: +255718335855
Karibu tufanye biashara.
Haina noma mkuu.Mi nadhani kama ungepata mtu wa karibu ataweza kukupa full details ama laa ni vyema ukaenda kuuliza ukapewa utaratibu.
Hela hiyo mkuu changamkia fursa kiongozi. Au kama yupo mtu Dar muagize akakuulizie, that's all.
Haina noma mkuu.