Consulatation services available

Consulatation services available

Kijiti

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
190
Reaction score
27
Habar zenu wana JF,

Ni muda sasa nimekua najishugulisha na kutoa huduma za ICT hasa zikiwa kama
consultation, kwahyo nakuja huku pia kuwajuza watu mbali mbali kuhusu hizi huduma. Kama utakua na maswali,mawazo,maoni,ushauri tafadhali tuandikie kupitia info@netset.co.tz

Asanteni.
 
Back
Top Bottom