House4Sale Nyumba inauzwa ipo kigamboni

mkwawa complex

Senior Member
Dec 15, 2016
184
250
NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI.MAGENGENI KWA URASA.UKITOKA FERY NI DK 5 KUTEMBEA KWA MIGUU.INA VYUMBA VINNE(4) VYA KULALA,KIMOJAWAPO NI MASTER.HIVYO VYUMBA VINGINE VITATU VINA-SHARE-(TUMIA) CHOO KIMOJA.INA SEBULE KUUBWA,JIKO NA STORE.PIA KUNA GARAGE YA KUPA-CK GARI MBILI INAYOFUNGWA KWA GATE.ENEO LIMEZUNGUSHIWA UKUTA.MAJI NA UMEME VIPO.BEI MIL 140.MAZUNGUMZO YAPO.CONTACTS 0784 26 98 05
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom