chindo
Senior Member
- Oct 6, 2013
- 166
- 102
Habari wana jamvi , natumai ni wazima.
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kuanzia magomeni hadi kimara mwisho.
Nyumba iwe ya kuanzia vyumba viwili vya kulala sebule master na sitting room.
Offer yangu ni sh laki moja na nusu hadi mbili.
Mwenye nayo pls ani pm.