House4Sale Nyumba Bei Poaa Makumbusho

lawyer2

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
212
225
Salaam wadau..nauza nyumba ipo Makumbusho stand kwa nyuma karibu kabisa na hotel ya Mesuma.Ina eneo la kutosha sana.Bei ni Mil.160
1482164702933.jpg
1482164710310.jpg
1482164723590.jpg
1482164732841.jpg
maongezi yapo.In hati miliki. Kwa mawasiliano 0689900000/0715831919.Karibuni sana
 

andreakalima

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
4,048
2,000
hapo pakinyesha mvua panajaa maji yanatapakaa mpaka kule shule ya sekondari na barabara ya Akachube kule kote. ujenzi wa hapo unataka uwe na pesa ndefu ili kuina msingi na uwe na gari ya juu kuepuka kukwama. Nina wasiwasi kama 160m utapata mteja laabda useme 60m maana unauza uwanja.

NB: Nyumba za design hii nyingi ni za familia, so mnunuzi kuwa makini wakati wa ununuzi pia, ni nyumba zimejaaa MAJINI (MAPEPO).
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom