Nyumba inauzwa million170

Meku tz

Member
Dec 16, 2016
37
95
Hii hapa chini, hii inatakiwa 170 milioni,
ipo Tandika ina bedrooms 4,ina sitting room,ina dining, jiko na kisima.


Inauzwa na vitu vyake vya ndani bado vipya na nyumba ni mpya
 

nkobanks

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
686
500
Ipo wap?na inauzwa kwa sababu gan?na inaukubwa gan kiwanja unapofanya biashara weka taarifa zote sio kama unauza nyanya humu
 

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,809
2,000
Inauzwa kwa sababu gani?
Mkuu kuna nyumba siku hizi zinauzwa ili kulipa madeni ya Bank maana ukisubiri waje kuipiga mnada itauzwa bei ya kutupwa kwa deal maalum ilimradi Bank warudishe pesa zao.

Hii inaitwa heri nusu shari kuliko shari kamili
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom