Kampuni ya Autoguru garage & workshop ni watengenezaji imara wa magari na furniture za chuma kwa bei nafuu zaidi. Tunapatikana Kinondoni Manyanya opposite na msikiti wa Bakwata mtaa wa Brazil...
Habari wakuu. Nahitaji chumba cha kupanga Makumbusho ambacho kipo tayari hakihitaji kusubiria matengenezo. Kinahitajika kesho jumamosi na jumapili kiwe tayari kwa kukaliwa.
Kisiwe mbali na...
Ninauza kiwanja, kipo Mbezi Marambamawili, Mtaa wa Mzalendo, kipo eneo kwa makazi na biashara za aina yoyote.
Ukubwa ni : 26" x 20"
Bei: Tutaelewana
Mawasiliano: 0685 810 420
Phone Huawei Y336 inauzwa bei sawa nabure, sim imetumika mwezi 1tu. Bado inakila kituchake, riciti, charge, earphones, bado vipo. Bei nataka 120.k kwa maongezi zaidi nifate pm tumalize biashara.
Cheap Flights, Travel Deals, Cheap Tickets, Airline Tickets and Discount Airfares
On #TheFlyingBull, you’ll find cheap flights for domestic and international travel, cheap tickets, airline...
Habari zenu?
Nahitaji fundi welding mwenye uzoefu kwa ajili ya kunitengenezea kitanza cha chuma double deck
chini iwe na 5X6 na juu iwe 4X6.
Ninayo picha ambayo nataka atengeneze kama hiyo picha...
Habari za mwaka mpya ndugu wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyo sema,
Naomba kufahamu upatikanaji wa samaki wabichi waliohifadhiwa kwenye barafu, lengo langu nataka nisafirishe nipeleke mkoni...
kama inavyoonekana pichani ni mpya kabisa 24ports...
model no: DGS-1024D
P\N:IGS1024DE....E1G
S\N:DRC2BC2000396
ICES-003, Class A
ni laki tatu na ishirini tuu.....
popote ulipo...
Viwanja vipo kilwa road mwandege nyuma ya kiwanda cha bakhresa, mji unaitwa chatembo,
Ukubwa ft 50×50,
Bei ni mil 2 tu,
0683775566,
0714775566
Wote mnakaribishwa
Ipo Mwanza. Room 3 mbili zina choo ndani, room moja master na makabati ya nguo ya ukutani, sebule,jiko,stoo,fenced,24hrs water supply. carparking area. 150mts from main road.
0755923565