Habari za mwaka mpya ndugu wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyo sema,
Naomba kufahamu upatikanaji wa samaki wabichi waliohifadhiwa kwenye barafu, lengo langu nataka nisafirishe nipeleke mkoni kuwauzia wachuuzi wadogo na mimi nipo hapa Dar. Tafadhali kama kuna mtu anaufahamu wa kujua ni sehemu gani nitaweza kupata samaki kiurahisi hapa Dar.
Naomba anisaidie (samaki ninaozungumzia ni wale wanaopatikana baharini kama vile kibua nk kulingana na soko ninalopeleka samaki wa majichunvi wanapendwa mno)
Asanteni