Chumba cha kupanga kinahitajika Makumbusho

Nana brain

JF-Expert Member
Jan 3, 2017
488
367
Habari wakuu. Nahitaji chumba cha kupanga Makumbusho ambacho kipo tayari hakihitaji kusubiria matengenezo. Kinahitajika kesho jumamosi na jumapili kiwe tayari kwa kukaliwa.

Kisiwe mbali na stand, kiwe self au kisicho self lakini kusiwe na wapangaji wengi.

Kama kunadalali naomba ajitokeze. ( matapeli wakae pembeni Tafadhali)
 
Back
Top Bottom