Ww unanitajia aina then tunafanya biashara .usafiri inategemea na umbali ila utachangia elfu 10000 tu au unaweza kuangalia uwezekano wakuzifuata kunduchi Dar es salaaam4000 ni gharama ya body spray au ni gharama ya usafiri? Weka Aina za Spray unazouza.
Dolphy bei ganiTunapatikana kunduchi line police
Namba0627927909
Nikwajumla tu
Ni kwa Tsh 4000 tu unaletewa mahali ulipo
Picha ya sample!naitaji.Rejareja ni tsh 6000
Jumla ni tsh 4000
4000 ni gharama ya body spray au ni gharama ya usafiri? Weka Aina za Spray unazouza.
Naweza kuzifata pia c ndio niokoe elfu kumi hiyo........ Kuanzia ngapi nachukua???Ghalama ya usafiri ni tsh 10000 tu.
Aina unazotaka ww kwa body spray nyingi na pendwa ni tsh 6000 rejareja na tsh 4000 kwa jumla