Hua inafungwa kwenye gari gani?Engine ya gari model TD42 pamoja na gear box yake inauzwa. Kwa anayehitaji tuwasiliane kupitia simu #: 0674 476 279
TD 42 ni kwa magari jamii ya Nissan, labda Nissan Civilian na Nissan Patrol.Land cruiser station wagon (shangingi) au Nissan Safari/Patrol
Ahsante kwa ushauri na taarifa. Mimi siyo fundi lakini nilifuatilia land cruisers zilizonunuliwa na serikali mwaka 1996 kwa ajili ya mawaziri zilikuwa zimefungwa engine aina hiyo.TD 42 ni kwa magari jamii ya Nissan, labda Nissan Civilian na Nissan Patrol.
Land Cruiser utakua unalazimisha tu Mkuu