Fundi welding anahitajika.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,157
13,379
Habari zenu?
Nahitaji fundi welding mwenye uzoefu kwa ajili ya kunitengenezea kitanza cha chuma double deck
chini iwe na 5X6 na juu iwe 4X6.
Ninayo picha ambayo nataka atengeneze kama hiyo picha.
Fundi anahitajika awepo maeneo ya Arusha mjini au Tanga mjini.

Kama wewe ni fundi au unamjua fundi nitumie namba yako/yake ya whatsapp kwenye PM ili nikutumie picha husika.

Asanteni.
 
wasiliana na huyu 0787522000 Yupo arusha na anafanya kazi nzuri balaa uuh kanitengenezea vitu vyangu ni shda,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom