D drmahene New Member Jan 17, 2017 3 1 Jan 19, 2017 #1 Nipo Singida mjini nafuga Kuku wa kienyeji kwa walio serious ntafute bei poa sana napenda wanaotaka kununua jumla na tufanye biashara
Nipo Singida mjini nafuga Kuku wa kienyeji kwa walio serious ntafute bei poa sana napenda wanaotaka kununua jumla na tufanye biashara
xav bero JF-Expert Member Nov 24, 2016 5,134 7,324 Jan 19, 2017 #2 Biashara nzuri hyo hasa ukiwaleta town
D drmahene New Member Jan 17, 2017 3 1 Jan 19, 2017 Thread starter #3 Yah nataka MTU wa Dar tufanye nae biashara
A Angelo007 JF-Expert Member Dec 1, 2013 1,846 1,363 Jan 19, 2017 #5 Biashara bila kuweka bei, au ndio mambo ya PM
hometown JF-Expert Member Jul 30, 2016 940 1,309 Jan 19, 2017 #6 drmahene said: Nipo Singida mjini nafuga Kuku wa kienyeji kwa walio serious ntafute bei poa sana napenda wanaotaka kununua jumla na tufanye biashara Click to expand... Weka bei mkuu Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
drmahene said: Nipo Singida mjini nafuga Kuku wa kienyeji kwa walio serious ntafute bei poa sana napenda wanaotaka kununua jumla na tufanye biashara Click to expand... Weka bei mkuu Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
D drmahene New Member Jan 17, 2017 3 1 Jan 19, 2017 Thread starter #7 Majogooo nauza 13000 and Majike elf 10 bei poa