Tunatoa huduma za kupiga Picha, Video production na Graphics designs

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,569
9,430
Habari wanajamvi......
A&Z Media company tunahusika na shughuli za upigaji picha katika shughuli mbalimbali na hata picha za kawaida tuu kwa wale wanaohitaji. Pia tunahusika na video productions za aina zote ikiwemo video za harusi, send off au kitchen party.

Na pia tufanya video shooting kwa wasanii wa nyimbo mbalimbali.
Zaidi ya hayo tunahusika na graphic designs za aina zote, tunatengeneza brochures, stika za magari na stika za aina nyingine ikiwemo na kutengeneza documentaries za aina zote.

Kwa mawasiliano zaidi na kufanya kazi pamoja nasi tuwasiliane kwa 0713871203 au 0767871203

Viambatisho chini ni baadhi ya kazi zetu. Karibu sana tukuhudumie.
13015330_1119164151480717_2063456959665150498_n.jpg

2f748a09-99c3-481f-8eb1-98451bf3e225.jpg

9e5d713b-6590-4afa-a3dc-609cca2c7737.jpg

da4715dd-735a-463d-be5f-2944cbb17a30.jpg
 
Attachments

  • 13164196_1129929980404134_3553865102836729469_n.jpg
    13164196_1129929980404134_3553865102836729469_n.jpg
    113.1 KB · Views: 51
Habari wanajamvi......
A&Z Media company tunahusika na shughuli za upigaji picha katika shughuli mbalimbali na hata picha za kawaida tuu kwa wale wanaohitaji. Pia tunahusika na video productions za aina zote ikiwemo video za harusi, send off au kitchen party.

Na pia tufanya video shooting kwa wasanii wa nyimbo mbalimbali.
Zaidi ya hayo tunahusika na graphic designs za aina zote, tunatengeneza brochures, stika za magari na stika za aina nyingine ikiwemo na kutengeneza documentaries za aina zote.

Kwa mawasiliano zaidi na kufanya kazi pamoja nasi tuwasiliane kwa 0713871203 au 0767871203

Viambatisho chini ni baadhi ya kazi zetu. Karibu sana tukuhudumie.
View attachment 348100
View attachment 461168

View attachment 461169
View attachment 461170
Ushauri,

PICHA ya mwisho unasema "also" acha mambo ya also sema unafanya yaani weka and instead of also.

Kwaiyo sentensi yako isomeke unafanya blah, blah, and wedding planing.

Ubarikiwe.
 
Asante mkuu kwa ushauri wako, tutafanya marekebisho
 
Karibuni sana mpate huduma nzuri ya picha na video za matukio mbalimbali ya kumbukumbu kwenye maisha.
14715041_1779693032295763_2667094533171069353_o.jpg

14980586_10211281127565056_2981167986693974883_n.jpg
 
Back
Top Bottom