Mwenye gari aina ya toyota kluger au Toyota harrier namba yoyote ilimradi gari iwe katika hali nzuri,bajeti yangu ni 9m,nipo nzega,ila hata km iko dar naweza kufika tu na kuicheki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.