Abby Senior
Senior Member
- Feb 14, 2015
- 154
- 60
Habari zenu wadau, mimi nipo Tanga mjini natafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba 3 au 4, naomba Msaada wenu wadau wa JF kama Kuna mtu anaweza kujua, Natanguliza shukrani.
Ningependelea maeneo ya Barabara za namba, chumbageni, bombo area, usagara nkMkuu subiri madalali waje watakusaidia, lakini kurahisisha zaidi ungesema unapendelea Tanga sehemu gani maana Tanga kubwa kuna Raskazone,Sahare ,Donge,Mikanjuni,Nguvumali,mabawa, msambweni, kwaminchi, Kange, Magomeni, Barbara za namba 1-20, makorora, magaoni,n.k. Pia weka na bajeti una uwezo wa kulipa sh ngapi kwa mwezi, uzuri wa Tanga wengi wanapokea kwa miezi 6.