Nyumba ya kisasa na yenye finishings ya hali ya juu inapangishwa Changanyikeni Mbuyuni, karibu na hostel ya Jesus Village. Ni KM 1.5 kutoka Chuo Kikuu cha Dsm na pungufu ya KM 1 kutoka Chuo Kikuu...
Haya tena kwa wale wajasiriamali wenzangu...mashine hii ya kuchoma Kuku inauzwa.
Unaweza kuweka Kuku zaidi ya 25 kwa wakati mmoja...machine hii unaweza tumia gesi au umeme!
Bei ya kuuza ni tsh...
Wajasiliamali wenzangu ninauza vifaranga vya ndege niliowataja hapo juu kwa bei nzuri kabisa. Ni cheki kwa namba hizi 0757660554-Arusha
Spec: Red Wattle Helmeted Guinea Fowls 3 months old...
wakuu nauza jiko la gesi la mihan liko complete kwa elfu 50 tu.. nimetumia kama wiki tatu ila gesi ipo na inakaa mda mrefu sana inategemea na matumizi yako..npo dar kama unahtaji na upo serious...
Bei 100,000 fixed
Nimekitumia miezi 4 tu,hakina tatizo lolote
Sababu ya kuuza:Nahama napunguza mizigo
Nipo Moshi
Contact:0674057335 au 0758293598 only if your serious
Habari wadau wa JF...
Nauza baadhi ya vifaa vya ofisini hasa kwa watu wenye nia ya kufungua ofisi..
Sababu ya kuuza ni kwamba nimetanua ofisi hivyo nimehamia sehemu nyingine kwa hiyo nalazimika...
Napenda kujitokeza kama mwanafunzi niliyesoma Sengerema Sekondari(O&A)level. Naitwa Changanya Bulimbo, nilisoma hapo 1985-1988 O' level.
Baadhi tumeanzisha umoja ambao makao makuu yapo Dar es...
Mimi ni mwalimu wa masomo ya Geography, Civics na Kiswahili. Napenda kufanya kazi private kwa mkataba mrefu. Nipo tayari kutoa vyeti vyangu kama dhamana. Nipo tayari kufanya kazi popote Tz...
Heshima kwenu wote.
Jamaa yangu anahitaji simu tajwa hapo juu,anapendelea ziwe used lakini ziwe kwenye hali nzuri.
Mwenye nayo/nazo awasiliane naye kwa namba 0718255028
Anahitaji Samsung note1 na...
Carfromjapan wanaendesha bahati nasibu ya jishindie gari kwa muda wa miezi 12. Droo ya kwanza ni mwezi wa pili tarehe 20 gari mbili kutolewa kila mwezi na gari 4 kila baada ya miezi 3
Huitaji...
Natafuta flat screen Tv Inchi 21-24 iwe ya rangi,hali nzuri haijawahi kufunguliwa,iwe na rimoti yake na boksi lake,mwenye nayo ani PM au anipigie kwenye 0787140432 au aweke picha yake na bei yake...