Nauza kiwanja kipo Chanika bei nafuu,nahitaji pesa ya ada tusaidiane wana jamii.

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
5,027
2,000
Habari wana Jf.

Bei ni 2.7mil maelewano yapo.
Ukubwa ni mita15*15.

Kilomita moja kutoka barabara ya lami ya Chanika(Kwa wenyeji wa Chanika ni jirani na pale kwa Mzelu(Chabupu) kwa miguu ni mwendo wa dakika 15 tu kwa wastani).

Huduma mhimu kama barabara na umeme vyote vipo.

Mteja unaruhusiwa kulipa kwa awamu mbili hadi tatu kulingana na makubaliano.

Karibuni,kuhusu mawasiliano tuwasiliane PM.

Kwenye picha eneo lenye majani ndio kiwanja chenyewe kinachouzwa.

Tusaidiane wanajamii,maji yamefika shingoni.

Mr.Mak

JF-Expert Member
Feb 23, 2011
2,816

Dr mwanao yupo darasa au form gani. Je mwaka huu ukiuza na akawa mwakani bado anaendelea je utauza pengine. Ushauri wa kawaida kama mtoto yupo Shule ya gharama kubwa mhamishie Shule inayofanana uchumi na mazingira yako
 
Matatizo ya pesa ni kipindi hiki natumaini mambo yatakuwa mazuri siku za usoni?
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,884
2,000
Dr mwanao yupo darasa au form gani. Je mwaka huu ukiuza na akawa mwakani bado anaendelea je utauza pengine. Ushauri wa kawaida kama mtoto yupo Shule ya gharama kubwa mhamishie Shule inayofanana uchumi na mazingira yako[/QUOT
Shule za kata ni div. zero live! Unafanyaje? Malezi hovyo-uvutaji bangi ,etc etc, etc
 
Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
3,016
2,000
Ulitaka nidanganye kwa kuandika miguu 20 kwa 20 ili ufurahi,mimi nimepima kwa mita sio miguu.

Pia ungepita kimya kimya na kusubiri vikubwa au unawashwa.
Wee ndio unawashwa.. Unauza ati kiwanja hicho kiwanja hicho cha kujenga nini banda la mbwa??? Yaani wakiitwa wenye viwanja na wewe unaenda? Peleka sant kayumba kama huna hela unalazimisha wakati uwezo huna
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,423
2,000
Katika Kutakangaza Ungesema nina Kipande nauza,Ujue ukisema Kiwanja halafu ni 15*15(m2) ujue unachekesha watu walionuna.
 
Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
5,027
2,000
Wee ndio unawashwa.. Unauza ati kiwanja hicho kiwanja hicho cha kujenga nini banda la mbwa??? Yaani wakiitwa wenye viwanja na wewe unaenda? Peleka sant kayumba kama huna hela unalazimisha wakati uwezo huna
Bila shaka wewe mgeni hapa Dar na hujui kuwa nyumba zimejengwa kwenye viwanja vya mita hizi.

Tafuta tape upime mita 15 uone pana ukubwa gani?

Naona unanitafuta ustarabu ni kitu cha bure,usionyeshe matatizo yako ya akili hapa.

Wewe hunijui mimi ni nani na kwa nini nimeamua kuuza kiwanja,hebu pita mbali kanunue hivyo vikubwa.
 
Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
5,027
2,000
Katika Kutakangaza Ungesema nina Kipande nauza,Ujue ukisema Kiwanja halafu ni 15*15(m2) ujue unachekesha watu walionuna.
Unaishi wapi wewe,mbona kwa Dar kawaida tu,tena wanapenda kutaja eti nauza kiwanja miguu 20 kwa 20 na unananua unajenga nyumba,ukipima kwa mita unapata 15 kwa 15.

Watu mnawashwa kwani lazima uandike.
 
Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
5,027
2,000
Humu kuna watu wanan dharau na majigambo sana, hivi kweli 15 by 15 sio kiwanja?
Kweli mkuu yaani kwa Dar kawaida sana,ila wanapouziwa wanaambiwa ni miguu 20 kwa 20 wakati ukipima kwa mita ni 15 kwa 15.

Tena panajengwa nyumba kubwa tu,lengo ni kunikwaza hakuna jipya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom