Husika na kichwa cha uzi hapo juu,
Naomba kujuzwa kuhusu kampuni/maduka, mahali na bei ya hivi vifungashio. Vifubgashio hivi ni kwaajili ya kufanya packaging ya maziwa.
Nipo Dar es Salaam.
Wakuu kwema?
Nina gari yangu toyota runx natumia battery ya maji n40 sasa inanisumbua sana.
Kila baada ya siku 4 lazima nipeleke chaji masaa 12.
Nimebadilisha maji lkn bado.
Naomba kujua bei ya...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 natafuta nafasi ya kazi ya upambaji popote pale tanzania..... pia kama una sherehe yako unahitaji kupambiwa wasiliana nami 0672417132.
Kampuni inaitwa Law Domain tuko Dar es salaam tunatoa huduma za kisheria, legal consultation, kwa wale wanaohitajia tafadhali wasiliana nasi kwa namba hizi;
+255 222182212
+255685646786
au...
Mbao za futi 12 za dawa trited wood
- 2x4 @ 7500pc
- 2×2@ 4000pc
- 1x8@ 14000pc
- 1x10@18500pc
Bei zetu ni za dukani na hazina udalali
ogopa matpeli wa udalali wa mbao njoo upate kilicho bora kwa...
Year of manufacture: 2007
Cc: 1995
Colour: Blue
ODO kilometer: 140, 000
condition: nzuri sana, inatumiwa na mwanamke
Location: Mbeya city (forest mpya)
Price: 13...
[https://3]
Ankal Issa Michuzi wa Michuzi TV, Millard Ayo na Askofu wa Ayo TV na Abdallah Mrisho wa Global TV wakitoka makao makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano walikoitwa kuchukua barua zao...
Wakuu kwema?
Nina gari yangu toyota runx natumia battery ya maji n40 sasa inanisumbua sana.
Kila baada ya siku 4 lazima nipeleke chaji masaa 12.
Nimebadilisha maji lkn bado.
Naomba kujua bei ya...
Wapendwa salaam.
Nna wawekezaji ambao wanatafuta sehemu zenye Quartz na Marbles. yeyote mwenye eneo au mgodi naomba ani PM tufanye Biashara. Natanguliza shukhrani
JE UNASUMBULIWA NA MATATIZO YA MAFUTA MWILINI, KITAMBI, AU MATATIZO YA TUMBO
Karibu ETERNAL INTERNATIONAL BIOTECHNOLOGY
Umuhimu wa mwanadamu upo kwenye kujua hali ya afya yake ikoje , watalaamu...
Wanabodi
Nauza Kiwanja changu kilichopo Dodoma Mjini eneo la Makulu kwa bei ya kutupa kabisa (Ukiwa njiani kwenda Chuo Kikuu cha Dodoma)
Kina ukubwa wa Hatua 15 kwa 30 na kipo tambarale
Bei ni Tsh...