Bei ya mabati kiwandani

Bei ya mabati kiwandani

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,561
Reaction score
9,132
wakuu nataka kununua mabati so nilipenda kujua bei ya zile bati za kawaida geji 28! zauzwaje kiwandani
 
ina maana watu hawajaliona hilo swali kuhusu mabati?
 
  • Thanks
Reactions: yuh
wakuu nataka kununua mabati so nilipenda kujua bei ya zile bati za kawaida geji 28! zauzwaje kiwandani

Mkuuu swali lako lina utata kidogo
Wataka bei ya mabati ya gauge 28 aina gani kati ya haya
1.ya kawaida simba ndumu
Kama ni simba ndumu bando lina 250000pc 12
2.kama yaliyopigwa rangi yanapatikana madukani gauge 30pc moja 25000 kama wataka 28unatoa oda kwa alaf au dragon mabati
3.kama ni mingongo mikubwa 35000
4.kama ya mfano wa decra pc 45000
Kama ni mabati ya mfano wa makarai ni 250000tsh kwa bando
Kama mtu tajiri ni kuanzia 25000 ,35000 ,45000
 
naombeni kujuzwa mabati yenye migongo ya kawaida ila ya rangi (kijani) ni shiling ngapi kwa bei ya kiwandani.
Asanteni
 
Mabati ya migongo ya kawaida ya kijani, blue, na brick red kampuni ya Alaf gauge 30 huku yanauzwa mita moja sh 7500 hadi 7800. So kama unahitaji bati ya mita mbili au mbili na nusu au mita tatu fanya hesabu hapo. Pia nashauri kwa anayejenga ni bora kutumia bati zanye rangi kutoka kiwandani kuliko bati za kawaida kisha kuja kumlipa fundi kupanda juu kuzipondaponda na kupaka rangi ambazo hupauka haraka kutokana na uchanganyaji usiozingatia viwango.
 
Mkuuu swali lako lina utata kidogo
Wataka bei ya mabati ya gauge 28 aina gani kati ya haya
1.ya kawaida simba ndumu
Kama ni simba ndumu bando lina 250000pc 12
2.kama yaliyopigwa rangi yanapatikana madukani gauge 30pc moja 25000 kama wataka 28unatoa oda kwa alaf au dragon mabati
3.kama ni mingongo mikubwa 35000
4.kama ya mfano wa decra pc 45000
Kama ni mabati ya mfano wa makarai ni 250000tsh kwa bando
Kama mtu tajiri ni kuanzia 25000 ,35000 ,45000

Migongo mipana ya alaf 35,000?
 
Mabati ya migongo ya kawaida ya kijani, blue, na brick red kampuni ya Alaf gauge 30 huku yanauzwa mita moja sh 7500 hadi 7800. So kama unahitaji bati ya mita mbili au mbili na nusu au mita tatu fanya hesabu hapo. Pia nashauri kwa anayejenga ni bora kutumia bati zanye rangi kutoka kiwandani kuliko bati za kawaida kisha kuja kumlipa fundi kupanda juu kuzipondaponda na kupaka rangi ambazo hupauka haraka kutokana na uchanganyaji usiozingatia viwango.
Zanta pitia huu uzi
 
Migongo mipana ya alaf 35,000?
IMG-20170103-WA0056.jpg
Mkeka Mpya wa Alaf huoo.
Msiibiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom