nobody knows but me
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 525
- 362
Wakuu kuna rafiki angu anatafuta pearls, huwa znapatikana maduka gani?! Msaada kwa mwenye idea
Moro sehemu gani mkuu?!Moro zipo
Asante mkuu kwa ufafanuziPearl ni lulu, za asili zinatoka baharini kwenye chasa na za kutengeneza pia zipo.
Lulu zina thamani na mahali pekee nadhani unaweza kuzipata kwenye maduka makubwa yanao uza fashion/ mapambo ya wanawake ya dhahabu na almasi labda Mlimani au online.
Angalia pia kuna kutapeliwa kirahisi - lazima ujue ununue pahali panapo aminika sababu zinafanana sana na shanga kubwa