This apartment it has two floors and its own entrance; and private parking yard. On the first floor, the ground one has an open plan kitchen, living area, and self contained bedroom. On the first...
Chombo bado cha moto kabisa
Bei ni 5.5m
0755155782
Kwa mawasiliano zaidi
Iko Dar es salaam
Kwa hitaji la gari aina yoyote tuma SMS kwenda namba hiyo hapo uweke na bei yako.
Nimeshusha bei:
Iphone Six (s) Storage128GB, RoseGold color.
Price: 1.45mil only badala ya zaid ya 1.95mil
Pia Smartphones za kisasa, Originals tu sasa unapata kwa bei Poa kwang Vunja bei...
Habari wana JamiiForums?
Shida yangu ni kuhusu jiko la gas ninampango wa kununua jiko la gas la plate mbili issue ni jiko gani bora na lisilotumia gas nyingi na nitalipata kwa sh ngapi? Maana...
Make : Toyota
Model : Crown Athlete
Mileage : 147,000km
Engine size: 2400cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
M/Year : 2004
Doors : 4...
Habari wana JF
Naomba kufahamishwa wapi naweza pata mabox ya kubebea vifaranga vya kuku. Mabox hayo huwa yametobolewa ili kuruhusu hewa kuingia wakati vifaranga vinasafirishwa.
Nawasilisha
Natafuta pick-up, single cabin or double (Iwe Toyota), kwa kusambaza mizigo ya dukani. Kama unayo ama unamfahamu mwenye nayo, tuma picha hapa ama kwa whatsap no: 0785 310 998
Njombe institute inawatangazia nafasi za masomo kwa kozi mbalimbali za hoteli, zikiwemo
1. Tourism and tour guiding
2. House keeping
3. Computer
4. Cake making
5. Food beverage service
6. English...
Wadau,
Naomba mnisaidie majina ya kumbi za harusi za wastani zilizopo hapa DSM angalao ziwe chini ya milion 1. Kama itawezekana naomba mnisaidie na Contact zao kabisa.
Natanguliza shukrani
Habari wakuu....
Valentines day loading..
Mpatie mama.. Mke..Dada..jirani.. Na wengineo zawadi ya pochi Valentine hii..
Dar delivery IPO..
Mkoani tunatuma..
PM kwa mawasiliano zaidi..
_karibuni!
WALE WA DAR TEGETA TEGETA TEGETA:
Chumba (master) na sebule safi.
Stoo. Jiko lako mwenyewe.
Public toilet (kama ukipata mgeni, sio aingie chumbani tena)
Full tiles, Gypsum, Sebule ina matundu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.