Mabox ya Kubebea Vifaranga vya Kuku

KIJANA2013

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
466
200
Habari wana JF

Naomba kufahamishwa wapi naweza pata mabox ya kubebea vifaranga vya kuku. Mabox hayo huwa yametobolewa ili kuruhusu hewa kuingia wakati vifaranga vinasafirishwa.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom