basi kama auwezi kutaja bei happaBei ya kawaida tyu mkuu
Chukua 150,000/= kama iko freshMkuu bei yake ni 280000
Sina hakika ila, niliwahi kwenda duka moja la simu pale k'koo niliuziwa C8 kwa 250000 sasa sijui bei ya wapi hiyo. Lakini nisamehe tu maana bei hutofautiana kutokana na mtu mwenyewe na eneo alipoUna uhakika ni bei ya dukani??
Bei hiyo na dukani jeMkuu bei yake ni 280000
C8 ni ndogo kuliko J8. C8 ina ram 1gb while J8 ina ram 2gb ina 16gb internal memory na 13 mp ya camera inayoifanya kuwa na picha nzuri zisizo na kifani. Bei ya J8 mpya dukani kwa sasa imeshuka k/koo inauzika 350000-320000. Niliyo nayo mimi imetumika km mwezi tyu so ni bei ya kutupa nauzaSina hakika ila, niliwahi kwenda duka moja la simu pale k'koo niliuziwa C8 kwa 250000 sasa sijui bei ya wapi hiyo. Lakini nisamehe tu maana bei hutofautiana kutokana na mtu mwenyewe na eneo alipo